Vunja Mbavu 4.0.9

Licença: Livre ‎Tamanho do arquivo: 3.04 MB
‎Classificação dos usuários: 2.5/5 - ‎7 ‎Votos

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na família pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, no video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Rio Jamii Picha Vídeo Inglês: Vunja Mbavu é um aplicativo que permite aos usuários pesquisar e ler piadas escritas em língua suaíli. Acreditamos que rir pode ter impacto na vida da felicidade e acreditamos que rir é mais do que medicação para pessoas estressadas. O aplicativo Vunja Mbavu tem uma coleção de piadas diferentes que podem fazer qualquer um rir e se divertir. O bom é que eu não tenho nada a ver com isso. Vunja Mbavu é para todos até piadas familiares porque regulamos línguas abusivas e acreditamos que qualquer um pode rir sem ouvir palavras abusivas.

história da versão

  • Versão 4.0.9 postado em 2016-02-13

Detalhes do programa